tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 7 Septemba ni siku ya 250 ya mwaka (ya 251 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 115.
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Rejina wa Alise, Sozonti, Festo na Desideri, Evurzi, Grato wa Aosta, Memori na wenzake, Alpino wa Chalons, Klod, Karisima, Madelberta, Hilduadi, Gozelino, Yohane wa Lodi, Stefano wa Châtillon, Marko Krisini na wenzake n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.