Usariver ni mji wa Wilaya ya Meru katika Mkoa wa Arusha, Tanzania, yenye postikodi namba 23301. Mji uko takriban katikati ya jiji la Arusha na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kando ya barabara kuu kutoka Arusha kwenda Moshi.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Kata ya Usariver
Nchi Tanzania
Mkoa Arusha
Wilaya Meru
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 29,938
Funga

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 29,938 [1] waishio humo. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,437 [2] walioishi humo.

Usariver pana makao makuu ya wilaya.

Usariver inajulikana kimataifa kutokana na chuo cha theolojia cha Makumira ambacho leo kimekuwa kitengo cha Chuo Kikuu cha Tumaini cha KKKT.

Marejeo

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.