Tapo lilitokana na vitabu vya mwanateolojia wa UholanziCornelius Jansen vilivyochapishwa baada ya kifo chake (1638). Rafiki yake, abatiJean Duvergier de Hauranne, alisambaza mafundisho yake kwanza, na alipokufa yeye pia (1643) juhudi ziliendelezwa na Antoine Arnauld, lakini pia na Pierre Nicole, Blaise Pascal na Jean Racine.
Ujanseni ulipingwa na wengi, hasa Wajesuiti, kwa kuona unafanana na Ukalvini.[1]
Mwaka 1653, kwa hatiCum occasione, Papa Innocent X alilaani kama uzushikaulitano za Wajanseni.[1] Viongozi wao walijaribu kulegeza msimamo wao bila kuachana nao kabisa, lakini hatimaye walihukumiwa tena na hati Unigenitus Dei Filius ya Papa Klementi XI mwaka 1713.[2]
Carraud, Vincent (2008-01-21) [Created 2007-06-20]. "Le jansénisme". Bibliothèque électronique de Port-Royal (lecture) (kwa French). Société des Amis de Port-Royal. ISSN1776-0755. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-11-11.{{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
Van Kley, Dale (Fall 2006). "The rejuvenation and rejection of Jansenism in history and historiography: recent literature on eighteenth-century Jansenism in French". French Historical Studies. 29 (4). Duke University Press: 649–684. doi:10.1215/00161071-2006-016. ISSN0016-1071.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Strayer, E. Brain, Suffering Saints: Jensenits and Convulsionaries in France, 1640–1799 (Eastborne, Sussex Academic Press, 2008)
Crichton. D. J., Saints or Sinners?: Jansenism and Jansenisers in Seventeenth Century France (Dublin, Veritas Publications, 1996)
Swann Julian, Politics and the Parliament of Paris under Louis XV 1754–1774, (Cambridge, Cambridge University Press, 1995)
Doyle William, Jansenism: Catholic Resistance to Authority from the Reformation to the French Revolution: Studies in European History (Basingstoke, Macmillan Press Ltd, 2000)
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ujanseni kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.