From Wikipedia, the free encyclopedia
Ualimu wa Kanisa katika imani ya Wakatoliki linamaanisha mamlaka ya Kanisa, kupitia hasa maaskofu wake, katika kufundisha imani na maadili ili kudumisha, kustawisha na kueneza karne hadi karne hazina ya imani iliyofunuliwa na Mungu hasa katika Yesu Kristo na kukabidhiwa kwa Mitume wake.
Ualimu huo unaweza kuwa wa kawaida na usio wa kawaida.
Ule wa kawaida ndiyo namna ambayo Papa wa Roma na Maaskofu wenzake wanatoa mafundisho yao siku kwa siku kwa njia ya hotuba, barua na maandishi mengine.
Kumbe ule usio wa kawaida unatolewa kwa fahari ya pekee, kwa mfano katika Mtaguso mkuu au katika tamko rasmi la kudumu linalotolewa na Papa kwa niaba ya Maaskofu wote.
{{cite book}}
: Check |isbn=
value: invalid character (help)Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ualimu wa kanisa kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.