Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia hapa
Shaurimoyo ni kata ya Jiji la Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 5,597 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,259 waishio humo. [2]
Asilimia kubwa ya wakazi wa kata ya Shaurimoyo ni watu wenye asili ya Mikoa ya Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja, lakini kutokana na soko huria la ajira katika kata hiyo kumekua na wimbi kubwa la wahamiaji kutoka Tanzania bara ambao wanafanya kazi hotelini.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.