Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Pittsburgh au Pittsburg ni mji wa Marekani katika jimbo la Pennsylvania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 2.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 373 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Pittsburgh, Pennsylvania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Jiji la Pittsburgh | |||
| |||
Mahali pa mji wa Pittsburgh katika Marekani |
|||
Majiranukta: 40°26′30″N 80°00′00″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Pennsylvania | ||
Wilaya | Allegheny | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 316,718 | ||
Tovuti: www.city.pittsburgh.pa.us |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.