Mily Balakirev

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mily Balakirev

Mily Alexanyevich Balakirev (alizaliwa mjini Nizhny-Novgorod tarehe 2 Januari 1837 - akafariki St. Petersburg tarehe 29 Mei 1910) alikuwa mtunzi kutoka nchini Urusi aliye maarufu kwa Opera. Mara nyingi alikuwa akitunga nyimbo kwa ajili ya orchestra, kwaya na piano na nyimbo pekee. Vilevile anasifika kwa kutunga nyimbo nyingi zenye kusifia utaifa wa Urusi.

Thumb
Mily Balakirev.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mily Balakirev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.