Hector Berlioz

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hector Berlioz

Hector Berlioz (11 Desemba 1803 - 8 Machi 1869katika jiji la Paris) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Ufaransa. Alikuwa moja kati ya watunzi wakubwa wa opera wa karne ya 19. Miziki yake pia ilikuwa ya kipindi maarufu cha kukaribisha karne mpya, yaani karne ya 18 kwenda 19 au kwa jina lililo maarufu ni Romantic period.

Hector Berlioz.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hector Berlioz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.