Felix Mendelssohn

From Wikipedia, the free encyclopedia

Felix Mendelssohn

Jakob Ludwig Felix Mendelssohn Bartholdy, anafahamika zaidi kama Felix Mendelssohn (3 Februari 18094 Novemba 1847) alikuwa mtunzi wa Opera, mpigaji kinanda na mwelekezi maarufu kutoka nchini Ujerumani. Huyu nae alikuwa mmoja kati ya watunzi mashuhuri wa kipindi cha Romantic.

Thumb
Felix Mendelssohn.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Felix Mendelssohn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.