Mahenge Mjini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mahenge Mjini ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Ulanga katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67601.
Mahenge Mjini | |
Mahali pa Mahenge katika Tanzania |
|
Majiranukta: 8°40′56″S 36°43′0″E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Morogoro |
Wilaya | Ulanga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 9,523 |
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 8,625 [1].Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,288. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,523 [2] walioishi humo.
Historia
Mji wa Mahenge ulianzishwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani ukawa kituo cha kikosi cha 12 cha jeshi la Schutztruppe na makao makuu ya mkoa wa Mahenge wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, baadaye pia wa Tanganyika katika miaka ya kwanza ya utawala wa Uingereza.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.