Lauren London
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lauren Nicole London (amezaliwa tar. 5 Desemba 1984) ni mwigizaji wa filamu na televisheni, mwanamitindo, na mwonekanaji wa miziki ya video. Alianza shughuli zake akiwa kama mwigizaji wa miziki ya video na baadaye kujiingiza kwenye filamu na televisheni. London alianza kupata kutambulika zaidi kwa uchezaji wake wa kwenye filamu ya ATL na vilevile kwenye kipindi cha mfululizo wa TV cha 90210 na Entourage. Mbali na shughuli zake za uigizaji, London pia ni mwongeaji wa wanamitindo wa kike wa mavazi ya Sean John.
Lauren London | |
---|---|
![]() London at the BET Hip Hop Awards in Atlanta, Georgia, 14 Oktoba 2007 | |
Amezaliwa | Lauren Nicole London 5 Desemba 1984 Los Angeles, California Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji, mwanamitindo |
Miaka ya kazi | 2002-mpaka sasa |
Kazi na maisha
Filmografia
Mwaka | Filamu | Uhusika |
---|---|---|
2006 | ATL | New New |
2007 | This Christmas | Melanie 'Mel' Whitfield |
2009 | I Love You, Beth Cooper | Cammy Kotts |
2009 | Next Day Air | Ivy |
Miziki ya video
Mwaka | Wimbo | Wasanii |
---|---|---|
2002 | "From tha Chuuuch to da Palace" | Snoop Dogg akim. Pharrell |
"Grinding" | Pharrell | |
"Signs of Love Makin'" | Tyrese | |
2003 | "Stand Up" | Ludacris akim. Shawnna |
"Frontin'" | Pharrell akim.. Jay-Z | |
2004 | "Drop It Like It's Hot" | Snoop Dogg akim.. Pharrell |
2006 | "That Girl" | Pharrell akim.. Charlie Wilson na Snoop Dogg |
"What You Know" | T.I. | |
2007 | "Drivin' Me Wild" | Common akim.. Lily Allen |
2008 | "Miss Independent" | Ne-Yo |
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.