From Wikipedia, the free encyclopedia
Shaffer Chimere Smith (amezaliwa tar. 18 Oktoba 1979)[2] ni mwimbaji, mtunzi, mtyarishaji, mnenguaji, mwigizaji na pia rapa kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ne-Yo. Yeye ni Mwafro-Asia ambaye amechanganya kati ya Mmarekani Mweusi (baba) na Mchina-Mweusi (mama).
Ne-Yo | |
---|---|
Ne-Yo mnamo Januari 2013 | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Shaffer Chimere Smith |
Amezaliwa | 18 Oktoba 1979 [1] |
Asili yake | Camden, Arkansas|Camden, Arkansas, Marekani |
Aina ya muziki | Soul R&B, pop, hip hop, pop dansi, neo soul |
Kazi yake | Mtunzi, mwimbaji, mtayarishaji wa rekodi, rapa, mnenguaji, mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1999–hadi leo |
Studio | Def Jam |
Ame/Wameshirikiana na | Rihanna |
Tovuti | Tovuti yake rasmi |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.