T.I.

From Wikipedia, the free encyclopedia

T.I.
Remove ads

Clifford Joseph Harris Jr. (amezaliwa tar. 25 Septemba 1980) ni rapa wa muziki a hip hop, mwigizaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa studio ya Grand Hustle Records. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama T.I. pia humwita T.I.P.

Ukweli wa haraka T.I. ...
Remove ads

Wasifu

Maisha ya awali

T.I. ni rapa Mwafrika-Mwamerika kutoka mitaa ya Westside Bankhead Zone 1 Kusini mwa Marekani. Jina lake halisi la kisanii ni T.I.P., linatokana jina lake la utani wakati wa udogo wake "Tip", ambalo alipewa na babu yake.

Kuvuma kwake kwa, kulipelekea washabiki wake kulichukua jina lake "poa poa", ikamlazimu kulibadilisha na kuliita "T.I.P". Pindi alipotia saini mkataba na studio ya Arista Records inayosaidiwa na studio ya LaFace Records mnamo 2001, akalifupisha jina lake na kuliita T.I. kwa heshima na taazima ya mwanamuziki mwezake aitwaye Q-Tip.

Pia anafahamika kwa mtindo wake wa kutembea na "Rababendi" na kujitangazia kuwa yeye ndiyo "Mfalme wa Kusini" (ambapo imeleta matatizo mengi ya hapa na pale na baadhi ya marapa wengine waishio kusini humo). T.I. ana watoto watano. Majina yao ni Messiah Ya'Majesty Harris, Domani Uriah Harris, Deyjah Harris, Clifford Joseph "King" Harris III, na Major Harris.

Remove ads

Muziki

Albamu zake

Makala kuu: Albamu za T.I.
  • 2001: I'm Serious
  • 2003: Trap Muzik
  • 2004: Urban Legend
  • 2006: King
  • 2007: T.I. vs. T.I.P.
  • 2008: Paper Trail

Filamu

Televisheni

  • 2005: The O.C.]], T.I.
  • 2006: The Fuse, T.I. akiwa na Timothy Hodge na Erica Newell
  • 2005: Punk'd, T.I.
  • 2008: Entourage

Filamu za kawaida

  • 2006: ATL, Rashad Swann
  • 2007: American Gangster, Stevie Lucas
  • 2008: Once Was Lost, Slam
  • 2008: For Sale[1]
  • 2009: Fast and Furious, Troy

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads