Kaunti ya Kitui

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kaunti ya Kituimap

Kwa makao makuu, soma Kitui

Ukweli wa haraka Nchi, Nambari ...
Kaunti ya Kitui
Kaunti
Thumb
Thumb Thumb
Bendera Nembo ya Serikali
Kaulimbiu: ""
Kitui County in Kenya.svgThumb
Kaunti ya Kitui katika Kenya
Coordinates: 1°29′S 38°23′E
Nchi Kenya
Nambari15
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Mashariki
Mji mkuuKitui
Miji mingineMwingi
Serikali
GavanaCharity Kaluki Ngilu,EGH
Naibu wa GavanaGideon Nzau Wathe
SenetaEnoch Kiio Wambua
Mwakilishi wa wanawakeIrene Muthoni Kasalu
BungeBunge la Kaunti ya Kitui
Wawakilishi Wadi40
Maeneo bunge8
Eneo
Jumlakm2 30 429.5 (sq mi 11 748.9)
Idadi ya Watu
Jumla1,136,187
Msongamano37
Majira ya SaaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti
kitui.go.ke
Funga

Kaunti ya Kitui ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,136,187 katika eneo la km2 30,429.5, msongamano ukiwa hivyo wa watu 37 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Kitui.

Jiografia

Kaunti ya Kitui inapakana na kaunti za Tana River, Taita Taveta, Makueni, Machakos, Embu na Tharaka Nithi. Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu. Ina vilima na ardhi tambarare. Kitui hupata misimu miwili ya mvua, Machi hadi Mei na Oktoba hadi Disemba.

Utawala

Kitui imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]

  • Ikutha 82,964
  • Katulani 47,108
  • Kisasi 46,142
  • Kitui Central 105,991
  • Kitui West 70,871
  • Kyuso 76,867
  • Lower Yatta 63,329
  • Matinyani 47,811
  • Migwani 79,255
  • Mumoni 29,344
  • Mutitu 55,287
  • Mutitu North 21,215
  • Mutomo 113,356
  • Mwingi Central 108,713
  • Mwingi East 85,139
  • Nzambani 46,788
  • Thagicu 15,136
  • Tseikuru 40,871

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.