Eneo bunge la Kitui Mashariki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eneo bunge la Kitui Mashariki (awali: Jimbo la Uchaguzi la Mutito) ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ambalo ni miongoni mwa majimbo manne katika Wilaya ya Kitui, lina wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Kitui County.
Jamhuri ya Kenya |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
Jimbo la Mutito lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Ezekiel Mwikya Mweu.
Wabunge
Wodi
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Kyanika / Maluma | 6,521 |
Malalani / Endau | 4,509 |
Mutitu / Kaliku | 6,813 |
Mwitika / Kyamatu | 5,839 |
Sombe | 3,789 |
Thua / Nzangathi / Ithumula | 6,602 |
Voo | 3,721 |
Jumla | 37,794 |
*Septemba 2005 [2]. |
Tazama Pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.