From Wikipedia, the free encyclopedia
Karoli wa Mlima Argus, C.P. (jina la kuzaliwa: Joannes Andreas Houben; Munstergeleen, Limburg, Uholanzi, 11 Desemba 1821 – Harold's Cross, Dublin, Ireland, 5 Januari 1893) alikuwa padri Mpasionisti aliyefanya kazi huko Ireland.
Alipata sifa kubwa kutokana na huruma yake kwa wagonjwa[1][2] na wale waliohitaji ushauri nasaha, hasa katika kitubio[3].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 16 Oktoba 1988, na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 3 Juni 2007.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.