Jimbo la Sidama

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jimbo la Sidama

Jimbo la Sidama ni moja ya majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia. Limeanzishwa mwaka 2020.

Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Sidama
Jimbo la Sidama
Thumb
Bendera
Thumb
Mahali paSidama
Jimbo la Sidama
Mahali pa jimbo la Sidama katika Ethiopia
Nchi  Ethiopia
Mji mkuu Awasa
Eneo
 - Jumla 12,000 km²
Idadi ya wakazi (2020)
 - Wakazi kwa ujumla 3,200,000
Funga

Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,200,000, wengi wakiwa Wasidama, wanaongea Kisidama na ni Wakristo wa madhehebu ya Kiprotestanti.

Makao makuu ni Awasa.

Tazama pia


Maelezo zaidi Majimbo ya Ethiopia ...
Funga
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Sidama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.