nchi kaskazini mashariki mwa Ulaya From Wikipedia, the free encyclopedia
Estonia (kwa Kiestonia: Eesti au Eesti Vabariik) ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Latvia na Urusi.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Mu isamaa, mu õnn ja rõõm | |||||
Mji mkuu | Tallinn | ||||
Mji mkubwa nchini | Tallinn | ||||
Lugha rasmi | Kiestonia | ||||
Serikali Rais Waziri Mkuu |
demokrasia Kersti Kaljulaid Kaja Kallas | ||||
Uhuru Ilitangazwa ilikubaliwa Ilitwaliwa na Urusi Ilitangazwa tena ilikamilika |
24 Februari 1918 2 Februari 1920 16 Juni 1940 20 Agosti 1991 6 Septemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
45,100 km² (ya 13) 4.56% | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - Msongamano wa watu |
1,315,819 (ya 154) 29/km² (ya 173) | ||||
Fedha | Euro (EUR ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .ee1 | ||||
Kodi ya simu | +372
- |
Finland iko ng'ambo ya Kidaka cha Ufini cha Bahari ya Baltiki na watu wake wana asili moja na Waestonia.
Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini ya Wajerumani, Wadani na Waswidi, halafu sehemu ya Dola la Urusi.
Katika miaka 1918-1940 ilikuwa jamhuri halafu miaka 1940-1991 mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti.
Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Estonia ilijitangaza nchi huru.
Estonia imekuwa nchi mwanachama ya Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.
Lugha rasmi ni Kiestonia ambacho ni lugha mama ya 69.1% ya wakazi na karibu sana na Kifini. Karibu robo husema Kirusi.
Upande wa dini, kadiri ya sensa ya mwaka 2011, 54.14% hawana yoyote. Wakristo Waorthodoksi ni 16.5%, Walutheri ni 9.91%, mbali ya madhehebu mengine yasiyofikia pekepeke 1%.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Estonia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.