From Wikipedia, the free encyclopedia
Eneo bunge la Maragua ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge saba katika Kaunti ya Murang'a.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
' | ||
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Mamlaka ya Mtaa |
---|---|---|
Gakoigo | 4,479 | Mji wa Maragua |
Ichagaki | 4,480 | Mji wa Maragua |
Mbugua | 2,106 | Mji wa Maragua |
Samar | 1,626 | Mji wa Maragua |
Kambiti | 4,632 | Mji wa Makuyu |
Kirimiri | 4,167 | Mji wa Makuyu |
Makuyu | 9,497 | Mji wa Makuyu |
Wempa | 3,408 | Mji wa Makuyu |
Kamahuha / Maranjau | 10,113 | Baraza la Mji wa Maragua |
Maragua Ridge | 2,516 | Baraza la Mji wa Maragua |
Nginda | 7,871 | Baraza la Mji wa Maragua |
Jumla | 54,895 | |
*Septemba 2005| [2] |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.