From Wikipedia, the free encyclopedia
Ghuba ya Bengali ni hori kubwa ya Bahari Hindi kati ya Bara Hindi, Rasi ya Malay na Sri Lanka yenye umbo la pembetatu. Jina la Bengal limetokana na jimbo la Bengali ya Magharibi katika Uhindi na nchi ya Bangladesh. Bahari ya Andamani inahesabiwa wakati mwingine kuwa sehemu ya ghuba ya Bengal lakini mara nyingi hutazamiwa kama gimba la maji la pekee.
Nchi zinazopakana na ghuba ni Sri Lanka, Uhindi, Bangladesh na Myanmar. Kama Bahari ya Andamani inahesabiwa kuwa sehemu ya ghuba hata nchi za Uthai na Indonesia zinapaswa kutajwa hapa.
Mito mikubwa ya Bara Hindi inayoishia katika Ghuba ya Bengali ni: mto Ganga, mto Meghna, mto Brahmaputra, mto Godavari, mto Krishna na mto Kaveri.
Mto Ayeyarwady wa Myanmar unaishia pia katika ghuba hii.
Bandari muhimu kwenye ghuba ni:
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.