From Wikipedia, the free encyclopedia
Chittagong (Chittagonian, Kibengali: চট্টগ্রাম, Chôţţogram) ni bandari kubwa na mji mkubwa wa pili wa Bangladesh. Iko kando ya mto Karnaphuli.
Mji wa biashara tangu karne ya 9, Chittagong ina urithi wa utamaduni wa Kiislamu, Wahindu na Wabuddha.
Maendeleo ya kisasa ya utawala wa Uingereza ni kama vile reli, maji na chai.
Baada ya mgawanyiko wa India katika 1947, Chittagong ikawa sehemu ya Mashariki ya Pakistan.
Katika 1971, Mashariki ya Pakistan ilipoasi na kujitangazia uhuru kwa jina la Bangladesh. tangazo lilifanyika katika Chittagong.
Leo, Chittagong ni moja ya miji inayoongezeka kwa kasi katika ulimwengu ukiwa na kituo cha biashara na viwanda kwa ajili ya wilaya. Pamoja na miundombinu muhimu kutekelezwa kwa mji na bandari yenye kina kirefu, Chittagong ni kitovu cha mustakabali wa kanda. Bandari ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi ya kusini mwa Asia ikiwa ni pamoja na India, Bhutan, Nepal na sehemu ya kusini ya China.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chittagong kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.