Tarehe 29 Agosti ni siku ya 241 ya mwaka (ya 242 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 124.
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1261 - Uchaguzi wa Papa Urban IV
- 1484 - Uchaguzi wa Papa Innocent VIII
Waliozaliwa
- 1632 - John Locke, mwanafalsafa Mwingereza
- 1780 - Jean-Auguste-Dominique Ingres, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1862 - Maurice Maeterlinck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1911
- 1920 - Charlie Parker, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1936 - John McCain, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1943 - Arthur B. McDonald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2015
- 1943 - Mohamed Amin, mpiga picha kutoka Kenya
- 1958 - Michael Jackson, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1959 - Gideon Byamugisha, kasisi kutoka Uganda
Waliofariki
- 1533 - Inka Atahualpa ananyongwa na Wahispania mjini Cajamarca (Peru)
- 1799 - Papa Pius VI
- 1877 - Brigham Young, kiongozi wa Wamormoni
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Yohane Mbatizaji kukatwa kichwa na ya watakatifu Basila wa Srijem, Sabina wa Roma, Adelfo wa Metz, Vikta wa Nantes, Sebi, Mederiki, Yoana Jugan n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.