Wilaya za KodivaaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Wilaya za Kodivaa (Kifaransa: Départements de Côte d’Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika wilaya zaidi ya 108. Wilaya hizo zimegawanywa katika Tarafa 509. Wilaya zilianzishwa kwanza mwaka wa 1961.
Wilaya za Kodivaa (Kifaransa: Départements de Côte d’Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika wilaya zaidi ya 108. Wilaya hizo zimegawanywa katika Tarafa 509. Wilaya zilianzishwa kwanza mwaka wa 1961.