Wilaya ya Cote d'Ivoire From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Botro (kwa Kifaransa: département de Botro) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Gbêkê ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.
auto
Wilaya ya Botro | |
Eneo la Tafara ya Botro. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Vallée du Bandama |
Mkoa | Gbêkê |
Serikali[1] | |
- Prefect | Lamine Coulibaly |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 81,424 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 81,424.
Makao makuu ya eneo hilo ni Botro.
Wilaya ya Botro sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.