From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Méagui (kwa Kifaransa: département de Méagui) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Nawa ulioko Kusini Magharibi mwa Cote d'Ivoire.
auto
Wilaya ya Méagui | |
Eneo la Wilaya ya Méagui. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Bas-Sassandra |
Mkoa | Nawa |
Serikali[1] | |
- Prefect | Kouakou Pierre Kouassi-Lenoir |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 320,975 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 320,975.
Makao makuu ya eneo hilo ni Méagui.
Wilaya ya Méagui sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.