Wilaya ya Cote d'Ivoire From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Touba (kwa Kifaransa: département de Touba) ni moja kati ya Wilaya tatu za Mkoa wa Bafing ulioko kaskazini-magharibi mwa Cote d'Ivoire.
auto
Wilaya ya Touba | |
Eneo la Wilaya ya Touba. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Woroba |
Mkoa | Bafing |
Serikali[1] | |
- Prefect | Benoît Yao Kouakou |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 75,032 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 75,032.
Makao makuu ya eneo hilo ni Touba.
Wilaya ya Touba sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.