Uzazi wa mpangoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Uzazi wa mpango au uzazi wa majira maana yake ni njia mbalimbali ambazo binadamu analenga kuzuia wingi wa mimba ambao unadhaniwa kuweza kuleta madhara ya aina moja au nyingine. Mwanamke akimnyonyesha mwanae. Desturi hiyo inapunguza hatari ya kansa kwa mama na maradhi kwa mtoto, lakini pia inaratibu uzazi.
Uzazi wa mpango au uzazi wa majira maana yake ni njia mbalimbali ambazo binadamu analenga kuzuia wingi wa mimba ambao unadhaniwa kuweza kuleta madhara ya aina moja au nyingine. Mwanamke akimnyonyesha mwanae. Desturi hiyo inapunguza hatari ya kansa kwa mama na maradhi kwa mtoto, lakini pia inaratibu uzazi.