Ummy Ally Mwalimu
Mwanasiasa nchini Tanzania jimbo la Tanga, Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, wazee na watoto / From Wikipedia, the free encyclopedia
Ummy Ally Mwalimu (alizaliwa 5 Septemba 1973) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama tawala cha kisiasa [1].
Ukweli wa haraka Rais, mtangulizi ...
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Mb | |
Waziri Wizara ya Nchi,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa | |
Aliingia ofisini 12 Desemba 2015 | |
Rais | John Magufuli |
---|---|
Naibu Waziri wa Mazingira | |
Muda wa Utawala 30 Januari 2014 ā 5 Novemba 2015 | |
mtangulizi | Charles Kitwanga |
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto | |
Muda wa Utawala 28 Novemba 2010 ā 20 Januari 2014 | |
aliyemfuata | Pindi Chana |
Aliingia ofisini Novemba 2010 | |
Constituency | Hana jimbo (Mbunge wa viti maalumu) |
tarehe ya kuzaliwa | 5 Septemba 1973 (1973-09-05) (umri 50) |
utaifa | Tanzanian |
chama | CCM |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (LL.B) University of Pretoria (LL.M) |
Funga
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum vya Wanawake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 nafasi ambayo aliitumikia hadi mwaka 2015. Akarudishwa tena bungeni[2]
katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kupitia tiketi ya CCM Viti Maalum vya Wanawake 2015.
Mwaka 2017 aliteuliwa kuwa waziri katika Wizara wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Archived 30 Juni 2020 at the Wayback Machine.[3] Mwaka 2021 aliteuliwa na raisi wa sita wa Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan kuwa waziri katika wizara ya Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)