Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
chuo kikuu nchini Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD) (kiingereza: University of Dar es Salaam) ni chuo kikuu cha kwanza nchini Tanzania[1] chenye kauli mbinu inayosema Hekima ni Uhuru. CKD kina kampasi mbalimbali kama vile Main Kampasi, CoICT Kampasi, DUCE Kampasi, MUCE Kampasi, Zanzibar Kampasi, SJMC Kampasi na Mbeya Kampasi. Hizi Kampasi zipo mahali mbalimbali. Main Kampasi, CoICT Kampasi, DUCE Kampasi na SJMC Kampasi zinapatikana jijini Dar es Salaam. MUCE Kampasi inapatikana mkoa wa Iringa. Zanzibar Kampasi inapatikana Zanzibar. Mbeya Kampasi inapatikana jijini Mbeya.
Ukweli wa haraka Wito kwa Kiswahili, Kimeanzishwa ...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam | |
---|---|
Mlimani | |
Wito kwa Kiswahili | Hekima ni Uhuru |
Kimeanzishwa | 1961 |
Aina | Chuo cha Umma |
Wakfu | Chuo cha kwanza Tanzania |
Chansela | Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete |
Makamu wa chansela | Prof. William A.L. Anangisye |
Dean | Ms. Paulina Mabuga |
Mahali | Dar es Salaam, Tanzania |
Kampasi | Main Kampasi, CoICT Kampasi, DUCE Kampasi, MUCE Kampasi, Zanzibar Kampasi, SJMC Kampasi na Mbeya Kampasi |
Rangi | Bluu, Nyeupe |
Msimbo | Mlimani, UDSM |
Tovuti | https://www.udsm.ac.tz/ |
Hekima ni Uhuru |
Funga