Makala hii inahusu mwaka 1973 BK (Baada ya Kristo).
- 1 Aprili - Christian Finnegan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 23 Aprili - Marcela Pezet, mwigizaji filamu na tamthilia kutoka Mexiko
- 6 Mei - Nikola Grbić, mchezaji wa mpira kutoka Serbia
- 30 Mei - Leigh Francis, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 21 Juni - Juliette Lewis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 22 Julai - Rufus Wainwright, mwanamuziki kutoka Marekani
- 26 Julai - Kate Beckinsale, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 14 Septemba - Nasir Jones, mwanamuziki kutoka Marekani
- 13 Oktoba - Sven Constantin Voelpel, mtaalamu wa biashara na umeneja kutoka Ujerumani
- 22 Oktoba - Ichiro Suzuki, mchezaji wa baseball kutoka Japani
- 26 Oktoba - Seth MacFarlane, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 12 Novemba - Radha Mitchell, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 14 Novemba - Dana Snyder, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Novemba - Lutricia McNea, mwanamuziki wa Marekani
- 1 Desemba - Lombardo Boyar, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 11 Desemba - Mos Def, mwanamuziki wa Marekani
- 13 Desemba - Holly Marie Combs, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Desemba - Scott Storch, mwanamuziki kutoka Marekani
bila tarehe
- 22 Januari - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-1969)
- 11 Februari - Johannes Hans Daniel Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 23 Februari - Dickinson Richards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
- 6 Machi - Pearl S. Buck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938
- 8 Aprili - Pablo Picasso, mchoraji kutoka Hispania
- 29 Mei - P. Ramlee, mwigizaji wa Malaysia
- 10 Juni - William Inge, mwandishi Mmarekani (na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954
- 8 Agosti - Vilhelm Moberg, mwandishi kutoka Uswidi
- 12 Agosti - Walter Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 12 Agosti - Karl Ziegler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1963
- 16 Agosti - Selman Waksman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952
- 17 Agosti - Conrad Aiken, mwandishi kutoka Marekani
- 2 Septemba - J.R.R. Tolkien, mtaalamu wa Kiingereza na mwandishi wa Bwana wa Mapete
- 21 Septemba - William Plomer, mwandishi wa Afrika Kusini
- 23 Septemba - Pablo Neruda, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1971
- 26 Septemba - Samuel Flagg Bemis, mwanahistoria kutoka Marekani
- 29 Septemba - W. H. Auden, mshairi kutoka Uingereza na Marekani
- 6 Oktoba - Margaret Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 16 Oktoba - Gene Krupa, mwanamuziki kutoka Marekani
- 25 Oktoba - Abebe Bikila, mwanariadha wa Marathon kutoka Uhabeshi
- 11 Novemba - Artturi Ilmari Virtanen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945
Ukweli wa haraka
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Funga