Pamanzi (Kifaransa: Petite-Terre) ni kisiwa kidogo cha eneo la ng’ambo la Ufaransa la Mayote. Kisiwa kikubwa ni Maore (Kifaransa: Grande-Terre).

Mwonekano wa ziwa Dziani katika kisiwa cha Pamanzi, Mayotte

Pamanzi ina eneo la km² 11.

Mji mkubwa ni Dzaoudzi penye kiwanja cha ndege.

Kijiografia kisiwa hicho ni sehemu ya funguvisiwa la Komori.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pamanzi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.