![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/94/Flag_of_the_Comoros.svg/langsw-640px-Flag_of_the_Comoros.svg.png&w=640&q=50)
Komori
nchi huru iliyo kwenye visiwa katika Bahari ya Hindi karibu na pwani ya mashariki ya Afrika / From Wikipedia, the free encyclopedia
Komori au Visiwa vya Ngazija (Kifaransa: Comores) ni nchi huru kwenye funguvisiwa katika Bahari Hindi upande wa Mashariki wa Afrika. Iko katika Mlangobahari wa Msumbiji kaskazini kwa Madagaska na mashariki kwa Msumbiji.
Ukweli wa haraka Umoja wa Komori, Mji mkuu na mkubwa nchini ...
Umoja wa Komori | |
---|---|
Udzima wa Komori (Kikomori) Union des Comores (Kifaransa) جمهورية القمر المتحدة (Kiarabu) | |
Kaulimbiu ya taifa: Unité – Solidarité – Développement (Kifaransa) وحدة، تضامن، تنمية (Kiarabu) "Umoja – Mshikamano – Maendeleo" | |
Wimbo wa taifa: Udzima wa ya Masiwa (Kikomori) "Umoja wa Masiwa" | |
![]() Mahali pa Komori | |
![]() Ramani ya Komori | |
Mji mkuu na mkubwa nchini | Moroni 11°42′ S 43°15′ E |
Lugha rasmi | |
Serikali | Jamhuri ya shirikisho |
• Rais | Azali Assoumani |
Uhuru kutoka Ufaransa | 6 Julai 1975 |
Eneo | |
• Eneo la jumla | km2 2 235[1] |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 888 378[1] |
Pato la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | ![]() |
• Kwa kila mtu | ![]() |
Pato halisi la taifa | Kadirio la 2023 |
• Jumla | ![]() |
• Kwa kila mtu | ![]() |
Maendeleo (2021) | ![]() |
Sarafu | Faranga ya Komori |
Majira ya saa | UTC+3 (Afrika Mashariki) |
Upande wa magari | Kulia |
Msimbo wa simu | +269 |
Msimbo wa ISO 3166 | KM |
Jina la kikoa | .km |
Funga
Jina limetokana na lugha ya Kiarabu ambapo Juzur al-Qamar (جزر القمر) linamaanisha "visiwa vya mwezi".
Katika Afrika iko kati ya nchi tatu ndogo kabisa.