![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/7d/Magnet_4.jpg/640px-Magnet_4.jpg&w=640&q=50)
Fizikia
utafiti wa maada na mwendo wake, pamoja na dhana zinazohusiana kama vile nishati na nguvu / From Wikipedia, the free encyclopedia
Fizikia (kutoka neno la Kigiriki φυσικός, physikos, "ya kimaumbile", ambalo tena linatokana na φύσις, physis, "umbile") ni fani ya sayansi inayohusu maumbile ya ulimwengu, hususan asili ya dunia na viumbe vyote.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/7d/Magnet_4.jpg/640px-Magnet_4.jpg)
Ni taaluma yenye kushughulika na maada na uhusiano wake na nishati.
Fizikia imetoa mchango mkubwa katika sayansi, teknolojia na falsafa.