From Wikipedia, the free encyclopedia
Sababu ni jambo linalokuwa mwanzo au chanzo cha lingine. Sababu huweza kufasilika kama ushawishi ambao tukio moja, mchakato, hali, au kitu huchangia katika uzalishaji wa tukio jingine; mchakato, hali, au kitu huweza kusababisha athari katika jambo au kitu hicho. Mara nyingi sababu huleta athari, na athari yoyote hutegemea sababu. Sababu huweza kuchangia kuleta jambo au kitu chanya au hasi[1]
Kimsingi, katika ulimwengu huu, hakuna kitu kisicho na sababu yake.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.