From Wikipedia, the free encyclopedia
Shina la neno ni sehemu ya neno inayotumika kuundia neno jipya.
Kuna aina kuu tatu za mashina neno, nazo ni:
1. Shina sahili ni aina ya shina lililoundwa kwa mofimu moja tu. Mfano: Baba, Mama n.k.
2. Shina ambatano ni aina ya shina lililoundwa kwa mzizi na kiambishi awali cha mtenda. Mfano: pig+a, piga n.k.
3. Shina changamano ni aina ya shina lililoundwa kwa mofimu mbili ambazo ni mzizi wa neno. Mfano Mwana+nchi, Mwana+jeshi, Bata+mzinga n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.