Modest MussorgskyFrom Wikipedia, the free encyclopedia Modest Petrovitch Mussorgsky (1 Machi 1839 - 28 Machi 1881) alikuwa mtunzi wa Opera kutoka nchini Urusi. Alikuwa maarufu sana kwa opera zake na nyimbo zilizo safi kwa mandhari ya Kirusi. Modest Mussorgsky.
Modest Petrovitch Mussorgsky (1 Machi 1839 - 28 Machi 1881) alikuwa mtunzi wa Opera kutoka nchini Urusi. Alikuwa maarufu sana kwa opera zake na nyimbo zilizo safi kwa mandhari ya Kirusi. Modest Mussorgsky.