![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/dc/Yozgat_districts.png/640px-Yozgat_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Yozgat
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yozgat ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Çorum kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kırıkkale kwa upande wa magharibi, Kırşehir kwa upande wa kusini-magharibi, Nevşehir kwa upande kusini, Kayseri kwa upande wa kusini-mashariki, Sivas kwa upande wa mashariki, Tokat kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Amasya kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wake ni Yozgat.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Yozgat nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Yozgat nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 14,123 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 727,394 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 66 |
Kodi ya eneo: | 0354 |
Tovuti ya Gavana | http://www.yozgat.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/yozgat |
Funga