![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/76/K%25C4%25B1r%25C5%259Fehir_districts.png/640px-K%25C4%25B1r%25C5%259Fehir_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Kırşehir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Kırşehir ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki, unaunda kuwa kama moja kati ya sehemu za kanda ya Anatolia ya kati. Upo mita 985 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mji mkuu wake ni Kırşehir.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Kırşehir nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kırşehir nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 6,570 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 238,807 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 40 |
Kodi ya eneo: | 0386 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kırşehir.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kırşehir |
Funga