From Wikipedia, the free encyclopedia
Kırıkkale ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki. Mji mkuu wa mkoa huu ni Kırıkkale.
Mkoa wa Kırıkkale | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kırıkkale nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 4,365 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 389,843 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 71 |
Kodi ya eneo: | 0318 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kırıkkale.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kırıkkale |
Mkoa wa Kırıkkale umegawanyika katika wilaya 9 (mji mkuu umekoozeshwa):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kırıkkale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.