![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/ac/Sivas_districts.png/640px-Sivas_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Sivas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sivas ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa sehemu ya kanda ya Anatolia ya Kati huko nchini Uturuki. Huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Yozgat kwa upande wa magharibi, Kayseri kwa upande wa kusini-magharibi, Kahramanmaraş kwa upande wa kusini, Malatya kwa upande wa kusini-mashariki, Erzincan kwa upande wa mashariki, Giresun kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Ordu kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wake ni Sivas.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Sivas nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Sivas nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 28,488 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 810,989 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 58 |
Kodi ya eneo: | 0368 |
Tovuti ya Gavana | http://www.sivas.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/sivas |
Funga