![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/49/Kayseri_districts.png/640px-Kayseri_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Kayseri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Kayseri ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye eneo la Anatolia, na umezungukwa na Mlima Erciyes, Mlima Hasan na Mlima Ali. Mlima umepewa jina kama hili ikiwa kama heshima tu kwake - kwa sababu aliomba kuishi katika eneo hilo.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Kayseri nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kayseri nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 16,917 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,096,088 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 38 |
Kodi ya eneo: | 0352 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kayseri.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kayseri |
Funga