Mexico (jimbo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mexico (jimbo) ni moja kati ya majimbo ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Lina eneo la km² 21,355.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/de/Flag_of_Mexico_%28state%29.png/320px-Flag_of_Mexico_%28state%29.png)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/89/Mexico_map%2C_MX-MEX.svg/640px-Mexico_map%2C_MX-MEX.svg.png)
Limepakana na Hidalgo, Querétaro, Tlaxcala, Puebla, Morelos, Guerrero na Michoacán.
Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 14,007,495.
Mji mkuu ni Toluca ila mji mkubwa ni San Cristóbal Ecatepec.
Gavana wa jimbo ni Enrique Peña Nieto.