From Wikipedia, the free encyclopedia
Morelos ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Cuernavaca. Morelos ni jimbo dogo wa pili la Mexiko.
Imepakana na Mexico (jimbo), Mexico (mji), Pueblo na Guerrero. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 3,115,202. Una eneo la 64,281 km².
Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya kiongozi wa uhuru wa Mexiko José María Morelos.
Gavana wa jimbo ni Marco Adame Castillo.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Morelos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.