Tlaxcala (jimbo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tlaxcala (IPA: [tlasˈkala]) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Mji mkuu ni Tlaxcala na mji mkubwa ni Vicente Guerrero.
Imepakana na Mexico (jimbo), Hidalgo na Puebla. Jimbo lina wakazi wapatao 1,068,207 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 4,016.
Gavana wa jimbo ni Héctor Ortiz Ortiz.
Lugha rasmi ni Kihispania.