From Wikipedia, the free encyclopedia
Toluca (jina rasmi: Toluca de Lerdo) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Mexico. Iko kati ya nchi Mexiko. Eneo lake ni 420,1 km². Kuna wakazi 747,512, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 1,610,786.
Jiji la Toluca | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Mexico |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 747,512 |
Tovuti: www.toluca.gob.mx |
Mji upo m 2,667 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Mji ulianzishwa na Wamatlazincas. Jina ni ya kinahuatl, maana yake ni kilima ya jabari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Toluca, Mexico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.