Liberata Mulamula
Balozi wa Tanzania nchini Marekani aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje na ushirkiano wa Afrika Mashariki / From Wikipedia, the free encyclopedia
Liberata Mulamula (alizaliwa 10 Aprili 1956) ni mwanadiplomasia wa Tanzania alikuwa Waziri katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa tangu Machi 2021 [1] hadi 2 Oktoba 2021[2]. Tangu mwaka 2015 alihudumu kama katibu mkuu wa wizara hiyo[3]. Aliwahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Meksiko [4] [5], aliwakilisha Tanzania pia kwenye Umoja wa Mataifa pamoja na Kanada na kati ya miaka 2006 – 2011 alikuwa katibu mtendaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Kanda la Maziwa Makuu ya Afrika[6].
Ukweli wa haraka Rais, mtangulizi ...
Liberata Mulamula | |
Rais | Samia Suluhu Hassan |
---|---|
mtangulizi | Palamagamba Kabudi |
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Meksiko | |
Rais | Jakaya Kikwete |
mtangulizi | Mwanaidi Maajar |
Mshauri wa rais (Diplomasia) | |
Rais | Jakaya Kikwete |
Katibu Mtendaji wa ICGLR | |
aliyemfuata | Ntumba Luaba |
Balozi wa Tanzania nchini Kanada | |
Rais | Benjamin Mkapa |
utaifa | Tanzanian |
ndoa | George |
watoto | 2 |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha St. John's (New York City) (MA) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam |
Funga