![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/cb/South_Africa_Provinces_showing_NW.png/640px-South_Africa_Provinces_showing_NW.png&w=640&q=50)
Kaskazini-Magharibi (jimbo la Afrika Kusini)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kaskazini-Magharibi ni jimbo la Afrika Kusini. Mji mkuu ni Mafikeng. Jimbo liliundwa baada ya mwisho wa siasa ya Apartheid (yaani ubaguzi wa rangi wa kisheria) kutokana na sehemu za majimbo ya awali ya Transvaal na Jimbo la Rasi pamoja na sehemu kubwa ya Bantustan ya Bophuthatswana.
Kwa maana nyingine, tazama Kaskazini-Magharibi.
Eneo | 116 320 km² |
Wakazi (2001) | 3 669 349 |
Lugha | Kitswana (65.4%) Kiafrikaans (7.5%) Kixhosa (5.9%) Kisotho (5.7%) Kitsonga (4.7%) Kisepedi (4.2%) Kizulu (2.5%) KiNdebele (1.3%) Kiingereza (1.2%) |
Wakazi kimbari | Waafrika Weusi(91.5%) Wazungu(6.7%) Chotara(1.6%) Wenye Asili ya Asia (0.3%) |
Mji Mkuu | Mafikeng |
Waziri Mkuu | Supra Mahumapelo (ANC) |
![]() |