Kangi Alphaxard Lugola
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kangi Alphaxard Lugola (alizaliwa 25 Mei 1963) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Mwibara (Mkoa wa Mara) kwa miaka 2015 – 2020 [1].[2]
Ukweli wa haraka Rais, mtangulizi ...
Mhe. Alphaxard Kangi Lugola (Mbunge) | |
Muda wa Utawala 1 Julai 2018 – 23 Januari 2020 | |
Rais | John Magufuli |
---|---|
mtangulizi | Mwigulu Nchemba |
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Mamakamu wa Rais Muungano na Mazingira | |
Muda wa Utawala 9 Oktoba 2017 – 1 Julai 2018 | |
Aliingia ofisini Novemba 2015 | |
tarehe ya kuzaliwa | 23 Mei 1963 |
utaifa | Mtanzania |
chama | CCM |
makazi | Dodoma |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Dar es Salaam |
Funga
Alikuwa waziri wa mambo ya ndani kuanzia 1 Julai 2018 hadi kufukuzwa kazi tarehe 23 Januari 2020.