Wilaya ya Bunda ni wilaya mojawapo kati ya 9 za Mkoa wa Mara.

Thumb
Mahali pa wilaya za Bunda (kijani cheusi) katika mkoa wa Mara.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 260,000 [1] na katika ile ya mwaka 2022, baada ya kumegwa, walihesabiwa 243,822 [2].

Makao makuu ya wilaya yapo mjini Bunda.

Misimbo ya posta wilayani ni 31501 hadi 31528. 

Marejeo

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.