Jumatano ya Majivu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jumatano ya Majivu, katika kalenda ya mwaka wa Kanisa la Magharibi[1], ni siku ya kwanza ya kwaresima, walau kwa madhehebu mengi[2][3][4][5][6][7][8][9][10][11][12][13][14] (katika liturujia ya Milano Kwaresima inaanza Jumapili inayofuata, hivyo majivu yanapakwa siku hiyo, si Jumatano[15][16]).